Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ]CCM} ,Amewataka wanachama wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wajitafakari .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt Magufuli amewataka wanachama wote wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi mbal...