Ofisi ya Raisi Mstaafu Jakaya Kikwete imekanusha upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hutuba aliyeitoa kwenye kongamano la Mwalimu Nyerere.
Rais mtaafu ambaye ni Jakaya Kikwete ametoa ufafanuzi wenye masikitiko juu ya baadhi ya watu wanaotoa upotoshaji kuhusu hotuba aliyoutub...