Ujenzi wa barabara ya nzege kilomita hamsini ya Lusitu- Mawengi wilayani Ludewa mkoani Njombe unatarajiwa kukabidhiwa mwezi agosti mwaka huu.
Katika Ujenzi wa barabara ya nzege kilomita hamsini ya Lusitu- Mawengi wilayani Ludewa mkoani Njombe umefikia 86% kwa kukamilisha zai...