Wananchi wa Mkoa wa Iringa wameishukuru serikali kwa kuwezesha huduma za kibingwaza uchunguzi na matibabu ya moyo
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Epheta Edward akimpima wingi wa sukari mwilini mkazi wa Iringa Magreth Sanga wakati...