Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla atoa agizo kwa TANAPA kuboresha miundombiniu mlima Kilimanjaro.
Dkt. Hamisi Kigwangalla ambae ni Waziri wa Maliasili na Utalii ameliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) lifanye ma...