Simba yashauliwa kutoa taarifa TAKUKURU kama imebaini vitendo vya Rushwa katika mchezo wake dhidi ya Yanga Sc.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameiomba klabu ya Simba kama imebaini vi...