Viongozi wa CCM wakutana na TGNP Mtandao kwa lengo la kujadili ushirika wa wanawake katika uongozi Wilayani Kishapu.
wajumbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendesha mkutano na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP Mtandao) kujadili ush...