TRA. imewataka wafanyabiashara kujisajili na kupata namba ya utambulisho wa Mlipakodi (TIN) kwa kuwa inatolewa bure bila malipo yoyote.
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara kujisajili na kupata namba ya utambulisho wa Mlipakodi (TIN) kwa kuwa inatolewa ...