Siku saba [7] Zatolewa kwa kamati ya ulinzi na usalama Mwanza kuwakamata waliohusika na mauaji ya Joseph Mathias
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima ametoa siku saba kwa viongozi wa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo kufanya opereshi na kuwakamat...