Serikali Yaagiza Wakimbizi 1000 Waliotoroka Makambini na Kwenda Kufanya Uhalifu Waondolewe na Wafunguliwe Mashitaka
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameviagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Kigoma kuwaondosha na kuwafun...