Wakazi wa mtaa wa Londoni uliopo kata ya Lizaboni manispaa ya Songea wameitaka Serikali kuwajengea kivuko kinachounganisha Eneo Hilo na TFS Ruhuwiko.
Wakizungumza wananchi wa eneo Hilo wamesema kutokana na kivuko hicho kuwa kibovu wanashindwa kufanya biashara hususani wale wanaotegemea sh...