Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Amewataka VIjana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi.
Omary Mwanga ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi [UVCCM] Mkoa wa tanga amewataka Vijana kujitok...