TAKUKURU Mkoani Arusha inamshikilia muweka hazina wa kikundi cha ujasiriamali kwa tuhuma za kuiba Tsh millioni 39.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Arusha inamshikilia Muweka hazina wa kikundi cha ujasiriamali cha Imani kwa t...