Kanyasu afanya ziara ya kutembelea sehemu ya Shamba la miti Sao Hill lilipo wilayani Mufindi mkoani Iringa ambalo limeathiriwa na moto.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu jana amefanya ziara ya kutembelea sehemu ya Shamba la miti Sao Hill ...