Waziri Simbachawene Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa Marekani, Umoja Wa Ulaya.... Asema Nchi Ipo Salama, Uchaguzi Utakuwa Huru Na Haki
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani, Umoja wa Ulaya (EU), Angola na Ku...