Solskjaer anatumai bado ataendelea kuifunza Man United kwa mechi itakayofuata baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa dhidi ya Watford. (Guardian)
Rio Ferdinand, mshindi mara sita wa Ligi ya Premia akiwa na Manchester United, ametoa wito kwa klabu yake ya zamani kumfuta Solskjaer kufu...