Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa mabadiliko ya sheria itakayomwezesha mtu kujipima mwenyewe virusi vya ukimwi
Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa mabadiliko ya sheria itakayomwezesha mtu kujipima mwenyewe virusi vya ukimwi na pia kushusha umri ...