Polisi Mkoani Njombe wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji yaliyofanyika makambako katika eneo la Kanisa Katoliki
Polisi mkoani Njombe wamemkamata Ndugu Daniel Mwilango Mtuhumiwa wa mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa katibu wa baraza la walei kani...