Upande Wa utetezi wa Kesi Ya Kutekwa Kwa Mo Dewji umeulalamikia upande wa Jamhuri kuchelewesha upelelezi wa kesi hiyo.
Upande wa utetezi katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, umeulalamikia upande wa Jamhuri kuchelewesha upel...