Kikao cha Kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa Zanzibar kimempitisha Cassian Galos Nyimbo kuwa Katibu wa Idara ya Organazesheni Zanzibar.
Kutokana na maelezo yaliyotolewa katika kikao hicho nafasi ya Ukatibu Organazesheni Zanzibar ilikuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa...