Mwalimu aliyeonekana katika Video akimchapa mwanafunzi kwenye nyayo za Miguu na kumkanyaga achukuliwa hatua za kusimamishwa kazi
JIFUNZE ZAIDI Mwalimu akimchapa mwanafunzi Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Mwalimu anayeonekana kwenye video fupi inayosamba...