Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty internationa limesema Tanzaniz inapaswa kutoa ushahidi wa tuhuma zinazo mkabili kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limesema kuwa serikali ya Tanzania inapaswa kutoa ushahidi dhidi ya kiongozi ...