Nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC zimeazimia kutekeleza sera ,Mikakati na programu zitakazowezesha kulindwa kwa haki za msingi za wahamaji
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof, Joyce Ndalichako amesema nchi wanachama wa Jumuiy...