Waitara amevitaka vyama pinzani vya siasa kutochukua maamuzi ya ajabu badala yake vidai haki kwa njia sahihi.
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amevitaka Vyama vya Siasa vya Upinzani viache kuchukua maamuzi ya ajabu ya kususia uchaguzi badal...