Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu, Shinyanga Limeagiza kuwachukulia sheria baadhi ya wakandarasi wa umeme wa REA.
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga limeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa baadhi ya wakandarasi wanaote...