Mkuu wa Usalama Barabara Mkoa wa Manyara Madereva na Wamiliki wa Magari kuhakikisha wanafanya Ukaguzi na Matengenezo ya mara kwa mara katika Magari yao
Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Manyara SSP Georgina Matagi amewataka madereva na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo maeneo mbalimba...