Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga kimempongeza Dkt .Samia kwa kazi anazofanya ikiwemo kupanua wigo wa Demokrasi na diplomasia nchini
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofi...