Mh. Bashe aagiza vyama Vikuu vya Ushirika Mkoani Ruvuma kuanza kusimamia upatikanaji na usambazaji wa Mbolea kwa wanachama na Wakulima
Waziri wa Kilimo, Mhe. Husein Bashe ameagiza Vyama Vikuu vya Ushirika Mkoani Ruvuma kuanza kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji...