Waziri Husunga ameagiza kukamatwa kwa viongozi wa chama cha akiba na mikopo kutokana na ubadhilifu wa fedha.
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga (Mb) ameliagiza jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kushirikiana na Mkuu wa Upelelezi, na Kamanda wa Taasi...