Serikali imewahakikishia wakazi wa Handeni, Mkoani Tanga uendelevu wa huduma ya maji licha ya kuharibika kwa miundombinu ya maji.
Mhandisi Anthony Sanga ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ametoa agizo hilo wilayani hapo wakati wa ziara yake iliyol...