Jeshi la Polisi Mkoani Njombe limewataka wazazi na walezi kuhakikisha usalama wa watoto wao katika kipindi hiki cha sikikuu
Jeshi la Polisi mkoani Njombe imewataka wazazi na walezi katika kipindi hiki cha sikukuu kujihakikishia usalama wa watoto wao pindi wanapo...