Header Ads

Header ADS

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshinda kesi dhidi ya wanablog.

        Mei 2018, asasi sita za kiraia ziliwasilisha hoja Mahakamani  zinazotaka kanuni mpya  zinazowataka wamilik wa mitandao kujiandikisha Serikalini na kuwataka kutaja  wafadhiili wao zisisitishwe kwa muda.
















                 Wanaharakati mbalimbali wameushutumu uamuzi huo wa Mahakama  kuwa ni ukandamizaji wa kujieleza kwa wananchi .Kwa mjibu wa kanuni hizo mpya  zinawataka wamilik wa mitandao kulipa ada ya dola $900 za kimarekani kutoka habari za wajasiriamali ,pamoja na uraia wa wamiliki.
           Kutokana na habari zilizotolewa na shirika la habari la Reuters , watakao kiuka kanuni hizo huenda wakafungwa Jela miezi 12 Sawa na mwaka mmoja ,kupigwa faini ya shilingi milioni tano  au kutumikia adhabu zote mbili.
           Sasa wamiliki wa mitandao mbalimbali wameanza  kusisitiza huduma zao kwa kuhofiwa kukamatwa na mamlaka husika nchini Tanzania .Miongoni mwa wanaharakati waliofanikiwa kuongea na Machweo commuinication  News ,Wanalaumu utawala wa Raisi Jonh Pombe Magufuli na kusema kuwa utawala wake umeamua kuchukua hatua hiyo kwa sababu unaogopa kukosolewa.

No comments

Powered by Blogger.