MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MAKAMBAKO KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA ORAPH MUHEMA.
Amehutumia wananchi wa Mji mdogo wa Makambako hukoakivitaja vipaumbele vyake endapo atapewa ridhaa na wananchi ya kuwakilisha Bungeni kuwa ni
.Kutatua kero za maji inayowakabiri wananchi wa Makambako
.Kuboresha Mfumo wa ELIMU na kufuta michango iliyojaa rukuki mashuleni
.Kutatua kero za Wafanyabiashara ambazo kwa muda mwingi Mbuge aliyekuwepo Chini ya Chama
cha Mapinduzi ameshindwa kutatua kero za wafanyabiashara
.Kuboresha Stendi kuu ya Mji wa Makambako pamoja na kuweka makarabai au taa ndai yastend
Kuboresha huduma za afya na kuhakikisha hospitali madawa yanapatikana.
Lakini hakuishiahapo tu ila amewaomba wananchi kuwa wachague madiwa pamoja na Rais kutoka katika vyama vinavyounda umoja wa katiba ya Wananchi[UKAWA] Iliwaweze kuunda serikali nzuri itakayo letamanufaa kwa Watanzania.

No comments
Post a Comment