Header Ads

Header ADS

Mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyo unda umoja wa Katiba ya Wananchi [UKAWA],Edward Luwassa ,ametoa tahadhari kwa watendaji na viongozi wa serikali watakaowanyanyasa wa kada ya chini kama Boda boda,na Mamantilie,watakiona cha moto

     Pia,Luwassa amewaahidi Watanzania utumishi uliotukuka pindiwatakapomchagua kuongoza serikali ya awamu ya tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake
     Luwassa ,ambaye ni Waziri Mkuu wa zamani aliyasema hayo jana katikamkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja waMbulu,Kahama,Mkoani Shinyanga ukitanguliwa na mikutano miwili ya Kishapu na Solwa.

No comments

Powered by Blogger.