Header Ads

Header ADS

Mtoto wa Wasira anusurika kuchomwa moto Bunda

       Mgombea Ubunge wa Chama Demokrasia na Maendeleo [Chadema] katika jimbi la Bunda mjini ,Ester Bulaya, amesema amemwokoa mtoto wa Waziri wa chakula na Ushirika,Stephen Wasira,aliyetaka kuchomwa moto ndani ya nyumba na wananchi  kwa madai ya kugawa rushwa.
      Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Bunda jana ,Bulaya alisema mtoto huyo alijulikana  kwa jina la Kambarage, alikumbana na mkasa huo juzi kwenye kata ya Kanzugu eneo la Bukore.Alisema  Kambarage akiwa na baadhi ya makada wa Chama Cha Mapnduzi [CCM]  na viongozi wengine , wakiwemo Watumishi wa Serikali.
     Walifungiwa ndani ya nyuma na Wananchi na kutaka kuchomwa moto baada ya kugundua  kwamba walitaka kuwapa baadhi ya vijana  rushwa iliwafanye fujo  kwenye mkutano wake.

No comments

Powered by Blogger.