Header Ads

Header ADS

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MAKAMBAKO MHESHIMIWA ORAPH MHEMA AKIHUTUBIA WANANCHI WA MTAA WA CHELESY KATA YA MJIMWEMA MAKAMBAKO.

 ORAPH  Mhema ni miongono mwa wagombea ubunge wa jimbo la Makambako Mkoani Njombe kwa tiketi ya Chama cha Democrasia na Maendeleo Chadema.Akiongea na Wananchi katika Mtaa wa Chelesy Kata ya Mjimwema  Makambako ,Amefitaja vipaumbele vyake kwa wananchi kuwa ni
  Kuweka ofisi ya Mbunge katika Jimbo la Makambako.Ambaye Mbunge wa zamani kwatiketi ya Chama cha CCM ,Ameshindwa kujenga ofisi ya Mbunge kwa kipindi chote cha miaka mitano na badala yake ameigeuza Nyumba yake kama ndiye ofisi na anafanya kazi za kiofisi ndani ya nyumba yake.
    Pia amezungumzia kuwa kipaumbele cha pili ni kutatua kero ya maji ambayo nitatizo kubwa sana katika mji wa Makambako.Amessma atatumia plani A,B na C.
  Plani A nikuhakikisha mradi wa IKUNA . Unaleta maji ambao ulizuiwa na Mbunge aliyekuwepo [CCM] maarufu Jah People.
 Plani B nikuhakisha mradi wa KIPENGERE.Unaleta maji katika Jimbo la Makambako ambao nao ulizuiliwa.
 Plani C nikuhakikisha anachimba vizima kila Kata katika Jimbo la Makambako na kuweka pampu za kutumia sora za jua.Mwisho amewataka wananchi wamuamini wampeleke Mbungeni aweze kuwawakilisha katika Jimbo la Makambako.

No comments

Powered by Blogger.