MGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MAKAMBAKO MHESHIMIWA ORAPH MHEMA KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO CHADEMA AMEHUTUBIA WAKAZI WA MJI WA MAKAMBAKO MAENEO YA STENDI KUU
Ikiwa zimebaki sku tisa uchaguzi mkuu kufanyika Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha Chadema Mheshimiwa ORAPH MHEMA ,Amefanya mkutano wake mkubwa katika eneo la stendi kuu mjini makambako na kuviainisha vipaumbele vyake na huku hakusita kukozoa kazoro za mbunge aliyekuwepo madarakani kwatiketi ya chama cha mapinduzi [Jah People] kuwa ameshindwa kujenga hata ofisi ya Mbunge na baadala yake kageuza nyumba yake kuwa ndiye ofisi.Moja ya kipaumbele chake amesemapindi angiapo Bungeni ni kuhakikisha anaijenga ofisi ya Mbunge Makambako.
Pia ameliongelea swala la kuboresha kituo cha Afya Makambako endapo atachaguliwa kuwa litakuwa kipaumbele chake kwani mpaka sasa kituo hakina Maabara kwa ajili ya upasuaji wakina mama mpaka wanalazimika kuenda Irembula au Kibena.
Pia ameliongelea swala la maji,ambalo ndio tatizo kubwa katika mji wa Makambako, amesema pindiakiingia Bungea atahakisha swala la maji analitatua mapema sana kwani amesema niaibu kubwa Jimbo kuwa na Mbunge kwa miaka mitano ameshindwa kuwasilisha hoja ya maji Bungeni na badala yake anakuja kuomba maji kwa mgombea uaraisi jambo ambalo ni kinyume na kazi aliyo tumwa na wananchi ya kuwawakilisha bungeni kwani wananhi walitegemea kuwa hoja angetolea Bungeni.

No comments
Post a Comment