Mwenyekiti huyu ambaye ni mshirka mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi [UKAWA] Amekufa kwa ugonjwa wa shinikizo la damu
Mwenyekiti huyo ambaye pia alikuwa kiungo maalumu katika UKAWA ,Ameachapengo kubwa la mchango wake katika umoja wa katiba ya wananchi.
No comments
Post a Comment