Wananchi wa kijiji cha mninga Wilayani Mufindi Mkoani Iringa wameilalamikia serikali kwa huduma mbaya zinazotolewa na Doctor wa zahanati ya kata
Wakizungumza na waandishi wa habari wanawake wa kijiji cha Mninga wamemlalamikia Doctor Katunda wa Zahanati hiyo kuwa anatatizo la kuomba rushwa na kwa wanawake anaomba rushwa ya ngono.
Mwanamke mmoja ambaye hakutaka jina lake kufahamika amesema kuwa yeye amelazimika kulala naye mara saba iliaweze kupewa huduma ya tiba .Japo kuwa jambo hili alikuwa akifanya pasipo mume wake kujua.Wanawake hawa wameiomba serikali kumuondoa huyo doctor kwani hafai .

No comments
Post a Comment