KARIBU MJUMBE: MAKAMU WENYEVITI WA CCM BARA NA ZANZIBAR WAMKARIBISHA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI LEO
Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Zanzibar, Rais Dk. Ali Mohammed Shein, wakimuonyesha kiti cha kukaa,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli, walipoingia
ukumbini, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
CCM, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dk Jakaya Kikwete, katika
ukumbi wa Sekretarieti, katika jengo la White House, Makao Makuu ya CCM
mjini Dodoma, leo.Kamati kuu hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kupendekeza
jina la Dkt Magufuli kuwa Mwenyekiti na baadae kuliwasilisha jina hilo
kwenye Halmashauri kuu ya Taifa kwa ajili ya kupeleka kwenye mkutano.
No comments
Post a Comment