Header Ads

Header ADS

Mbunge wa jimbo la Makambako maarufu kwa jina la Deo Kasenyenda Sanga ahitimisha ziara yake ya mikutano ya hadhara kwa kufanya mikutana na wakazi wa kata ya Kivavi na Magegere

Mheshimiwa Deo Kasenyenda Sanga amefanya mikutano kata hadi kata jimboni kwake huku akiahidi kutatua baadhi ya kero mbalimbali zinazo wakumba wananchi ikiwa ni pamoja na kutatua kero ya.
      Kujenga ofisi ya serikali ya Mtaa wa Magegere
     Ukosefu wa barabara ndani ya Mtaa
    Ukosefu wa Vizimba vya takataka
    

Pia ameliongelea tatizo la Afya huku akiahidi kuchangia kujenga Zahanati lakini akaliongelea kuwa tatizo liliopo ni ukosefu wa Vifaa vya Upasuaji.
 Pia ameliongelea tatizo la maji kuwa ifikapo mwezi wa kumi na mbili itakuwa tayari limeshatatuliwa


No comments

Powered by Blogger.