UKOSEFU WA VIZIMBA VYA KUWEKEA TAKATAKA UMESABABISHA WANANCHI WA MJI WA KIBIASHARA WA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE KUGEUZA BARABARA KAMA DAMBO.
Wakizungumza na Mtandao huu wananchi wa Kata ya Kitisi Mtaa wa Lupila wamesema richa ya Rais John Magufuli kutangaza siku ya usafi ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi bado wanakabiliana na tatizo la vizimba vya takataka.
Kero ya kutupa takataka barabarani hasa njia ya kutoka shule ya msingi Mwembetogwa kuelekea magodauni limekuwa nitatizo sugu hasa ukilinganisha kuwa na jirani na makazi ya watu pamoja na watoto wa shule hiyo kucheza jirani na takataka.
Wananchi wakizungumza na mtandao huu wameitaka serikali kuingilia kati swala la ujenzi wa vizimba vya taka mapema iwezekanavyo.Ukilinganisha tangu kutokea kwa kipindupindu Mkoa wa Njombe haujawahi kulipotiwa na mgonjwa wa kipindupindu.

No comments
Post a Comment