Ni maajabu ambayo haija wahi tokea . Abilia katika Ndege moja nchini Mexico walishangaa kumpata abilia asiye wa kawaida Nyoka . Baada ya kugunduliwa kwake Ndege hiyo ya Aeromexico iliruhusiwa kutua upesi Mexicocity
No comments
Post a Comment