Mbunge Saed Kubenea ahoji Serikali kuhusu Makinikia
Saed Kubenea ,ambaye ni Mbenge wa Ubongo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema amemtaka Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi kujibu hoja mbele ya Bunge mabadiliko kati ya Serikali na Kampuni ya Madini ya Madini ya Acacia.
Ameyasema hayo leo Juni 1 /2018 Mbungeni Mjini Dodoma wakati akichangia bajeti ya nishati ya mwaka 2018 /2019,amesema inasikitisha amesoma kitabu cha Waziri na cha kamati hakuna walipozungumzia makinikia.Mbunge huyo amesisitiza kuwa sisi tulitegemea Bunge tupewe taarifa ya kina kuhusu mazungumzo katia ya Serikali na Acacia tueleweshe sh 424 trilioni ambazo ni sawa na dola bilioni 190 tungepata lakini bajeti nzima imekuja haijazungumzia na` ripoti ya Waziri hakuna popote palipozungumziwa,

No comments
Post a Comment