watano wauwawa kwa kifusi cha mgodi Geita
machimbo ya mgodi usio rasmi katika kifusi cha udongo, kimewafunika na kuwauwa watu watano katika wilaya ya Nyanh'hwale mkoani Geita.
Wachimbaji hao waliingia kinyume na kanuni katika Mgodi uliopo chini ya leseni ya kampuni ya accaccia, ambapo walikuwa ndani ya mgodi huo wanaendelea na uchimbaji,Novemba 29 mwaka huu saa mbili asubuhi, kuta zilianguka za mashimo matano, kifusi cha udongo kikawafunika nakuplekea wachimbaji watano kupoteza maisha.
pia mkuu wa wilaya Nyang'hwale, hamimu gweyama amesema kuwa maiti tano zimeopolewa na zimekabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya taratibu za mazishi ingwa watu wawili wamepatikana wakiwa hai.
ameendelea kusema kuwa idadi ya watu waliokuwemo kwenye mashimo hayo bado haijajulikana kwasababu ni vigumu kuwatambua kwani wachimbaji wadogo huingia katika mgodi huo bila kufuata taratibu na kanuni maalumu. Licha ya meneja wa mgodi huo Peter ngalu, kusema watu waliokuwemo kwenye mgodi ni 10 ambapo watu watano wameopolewa wakiwa wameshapoteza maisha na wawili kuonekana wakiwa hai.
kati ya majeruhi Ntimba gudi ambaye ameokolewa na ameeleza kuwa shimo moja lilikuwa na watu watatu na shimo la pili lilikuwa na watu watano kwa upande mwigine mashimo matatu yakiwa na mtu mmoja mmoja.
Lakini amefanikiwa kufafanua chanzo kikubwa cha kuporomoko kwa mashimo hayo ni kwasababu shimo la jirani kulikuwa na uzembe wakufunga magogo vizuri ya kushikilia kuta za mashimo na kupelekea kuta kuporomoka na badae mashimo jirani yakaanguka kwani yanakaribiana sana kwa chini.

No comments
Post a Comment