Wanachuo wa Chuo cha Grossal Institute Training College Makambako wafanya ziara ya kutembelea hifadhi ya Ifisi Zoo ,Iliyopo Mbeya
Wanachuo wa Chuo cha Grossal Institute Training College [GITC Makambako] .Wamefanya Ziara ya kwenda hifadhi ya Ifisi Zoo iliyopo Mbalizi Mkoa wa Mbeya ikiwa na lengo la kwenda kujifunza kwa vitendo juu ya tabia ya viumbe hai pori.
Akizungumza na Mtandao wa Machweo Communication News,akiwa Ofisini kwake Mkuu wa Chuo hicho Bwana GEORGE K. MWITA, amesema kuwa wanafunzi wa chuo cha GITC MAKAMBAKO, wameondoka kwenda Mkoani Mbeya katika hifadhi ya Ifisi zoo iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya ilkiwa lango kubwa ni kujifunza kwa vitendo tabia ya viumbe hai wakiwemo wanyama pori pamoja na Ndege kwa upande wa wanachuo wanao somea Utalii.
Mkuu wa Chuo :Bwana ,GEORGE .K. MWITA.
Pia bwana Mwita ,amesema Chuo hicho kinajitahidi sana kuwafundisha wanachuo kwa njia ya Vitendo zaidi kuliko nazaria kwani amesema kuwa Chuo chake kinatoa wanafunzi mahili wenye uwezo wa kufanya kazi sehemu yeyote ile ndani ya nchi na hata nje ya nchi.Nao wanafunzi wanaosomea masomo hayo ya Utalii katika Chuo hicho wamesema wamefurahi sana kwenda kujifunza kwa vitenda katika hifadhi hiyo kwani wamesema kujifunza kwa vitendo zaidi kutawaongezea uwezo wa kwenda kufanya kazi pindi wamalizapo masomo yao.
Ni baadhi ya Wanachuo wakiwa Hifadhi ya Ifisi Zoo ,Mbeya.
Wanachuo wakiwanje ya ofisi ya hifadhi wanapigapicha kwa furaha.
Mwanafunzi ZAMUDA MAPUNDA,akiwa ameshika Yai la Mbuni [Ostrich]
Ikumbukwe kuwa Chuo cha GROSSAL INSTITUTE TRAINING COLLEGE .kinapatikana Makambako Mkoani Njombe.

No comments
Post a Comment