Wananchi Mkoani Njombe walia ukosefu wa miundo mbinu.
Kutokana na ukosefu wa miundombinu hususani barabara wananchi wa kijiji cha Nkwimbili Kata ya Lupingu Mwambao mwa Ziwa Nyasa Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wakiwa wanatumia zana za kienyeji [mikono] .Baada ya kuona atha kuwa wanazozipata kutokana na ubofu wa miundombinu hususani barabara wameamua kuanza kuchimba barabara kwa kutumia zana za kienyeji za mikono.
kutoka kijijini hapo itakayo unganisha kijiji cha Nsisi Kata ya Lifuma katika ukanda wa ziwa nyasa.
Kwa pamoja wananchi hao wakiongea na mtandao wa machweo communication news online wamesema wameamua kuunganishanguvu zao na kuanza uchimbaji huo ili serikali na wadau wengine akiwemo Mbunge wao waonejuhudi wanazozifanya wananchi na kutafuta njia mbala ya kuweza kuwasaidia wananchi hao.
' Sisi wananchi tumekubaliana kwa pamoja kuanza kuchimba barabara hii ambayo ni kiungo mhimu sana kwa maendeleo yetu pia tunataka serikali ionetunacho kifanya hatimaye iweze kutuunga mkono angalau mashine ya kuchimbea barabara hii kwa ubora zaidi."Walisema wananchi hao"
Pia Mbunge wa jimbo la Ludewa ' Deo Ngalawa katika kuwaunga mkona wananchi amewakabidhi wananchi hao vifaa vya kufanyia kazi yakiwemo majembe ,chepe ,suluhu na mitalimbo pamoja na kuchangia mbuzi na ng'ombe mmoja kwaajili ya mboga ya wananchi wanaofanyakazi.
Pia Mbunge Ngalawa ameahidi kuendeleza ushirikiano kwa wananchi hao na kuishauri serikali kupitia wakala wa barabara za vijijini na Mijini [TARULA] Kuhakikisha inazitambua na kuchukua barabara mbalimbali zilizoanzishwa kwa nguvu za wananchi Wilayani Ludewa.

No comments
Post a Comment