Kuhusu kesi ya Mdee Hakimu atoa nafasi ya mwisho.
Katika kesi ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,inayomuandama Mbunge wa Kawe kupitia tikeki ya Chama Cha Demokrasi na Maendeleo[CHADEMA]ambaye ni Halima Mdee. Mahakama ya mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imeutaka upande wa mashtaka kuieleza Mahakama kama hawana mashahidi katika kesi hiyo.
Mara baada ya Thomas Simba ambaye ni shahidi aliyekuwa akitegemewa kutoa taarifa kuwa anaumwa.Ndipo Mwanasheria wa Serikali Sylivia Mtando alipodai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu.
''Nilijitaidi kuwasiliana na shahidi aliniambia kuwa anaumwa kuwa haweze kufika kwa sababu anaumwa hivyo naiomba Mahakama ipange tarehe nyingine ya kusikilizwa''.Wakili Mitando amesema.
Kwa mujibu wa Hakimu Simba ameeleza kuwa tangu julai 10,2017 kesi hiyo ipo Mahakamani ambapo mpaka muda huu ni kipindi cha miaka miwili sasa na Mashahidi watatu ambao waliotoa ushahidi na kuwaomba ushahidi ufungwe iwapo wamemaliza.
''Natoa nafasi nyingine ya mwisho,leteni mshahidi waje kutoa ushahidi,hadi sasa waliotoa ushahidi ni watatu tu,Sipendi ifike Oktoba mwaka huu,nataka nilitolee maamuzi'',Hakimu Simba amesema.

No comments
Post a Comment