Marekani imelifanyia majaribio kombora lake la masafa ya kadri kutokana na makubaliano ya Kinyuklia ya INF
Wiki kadhaa baada ya kujiondoa katika makubaliano muhimu na Urusi yaliyopiga marufuku silaha zenye uwezo kama huo za Kinyuklia,Marekani imefanyia jaribio kombora lake la masafa ya kadri.
Siku ya jumapili Pentagon imesema kwamba ilifanikiwa kurusha Kombora hilo katika Pwani ya California.
Mnamo tarehe 2 Agosti Marekani ilijiondoa katika makubaliano hayo mara tu baada ya kuishtumu Urusi kwa kulikiuka azimio hilo madai ambayo Moscow imekana.
Kwa mujibu wa Wachanganuzi wanahofia kuwa kushindwa kwa makubaliano hayo kutazua kwa kiasi kikubwa ushindani wa utengenezaji wa silaha mpya.
Katika kipindi cha vita baridi makubaliano hayo yalioafikiwa yalipiga marufuku silaha zenye uwezo wa kurushwa kati ya kilomita 500 hadi 5500.
Aidha Pentagon imeeleza kuwa kombora hilo lililofyatuliwa kutoka kisiwa kinachodhibitiwa na wanamaji wa Marekani cha San Nicolas katika Pwani ya Los Angeles lilikuwa halina kichwa cha nyuklia.
Kulingana na idara ya ulinzi ya Marekani,silaha hiyo iliofanyiwa majaribio iliafikia lengo lake la zaidi ya kilomita 500.
Kuhusu uundaji wa silaha za kadri katika siku za usoni kuhusu uwezo wake katika jaribio hilo itaelezea idara ya ulinzi data iliyokusanywa pamoja mafunzo.
Katika siku za nyuma Urusi imeshutumiwa kwa kukiuka mashariti ya mkataba,lakini mapema mwaka huu Marekani na Nato ilisema kwamba kulikuwa na ushahidi kwamba Mascow ilikuwa na mpango wa kurusha kombora jipya aina ya 9M729 linalojulikana na Nato kama SSC_8.
Kwa upande wao Urusi imekana shutma hizo na Rais Putin amesema kwamba Marekani imefanya makosa makubwa kujiondoa katika makubaliano hayo.
Trump aliweka siku ya mwisho ya Agost 2 mnamo mwezi Februari Marekani kujiondoa katika makubaliano hayo iwapo Urusi itaendelea kukiuka Masharti yake.
Muda mfupi badae Vladimir Putin ambaye ni Rais wa Urusi alipiga marufuku makubaliano na Taifa lake katika mkataba huo.
Mnamo tarehe 2 Agosti Marekani ilijiondoa katika makubaliano hayo baada ya kutishia kufanya hivyo na Waziri wa masuala ya kigeni Mike Pompeo alisema Urusi ya kulaumiwa kwa mkataba huo.
Huenda kukazuka na mashindano ya uundaji wa silaha kati ya Marekani,Urusi na China wasiwasi huo umetokana na kuanguka kwa makubaliano hao ya kihistoria.
Antonio Guterres ambaye ni katibu mkuu wa umoja wa Mataifa alisema kwamba 'kipindi cha mapumziko'cha vita vya kinyuklia kimekiukwa.
''Hatua hiyo wenda ikachochea zaidi na sio kupunguza tishio linaloweza kusababishwa na makombora ya masafa marefu'',Alisema akizitaka pande zote kutafuta makubaliano ya pamoja kuhusu silaha za kimataifa.
Jens Stoltenberg ambaye ni Katibu Mkuu wa Nato alieleza kwamba muungano wa Mataifa yaliyopo katika bahari ya Atlantic utajibu kuhusu hatari inayosababishwa na kombora Urusi la 9M729 kwa usalama uliopo.
Hata hivo,Nato aliongezea kusema kuwa haihitaji ushindani wa silaha-alithibitisha kuwa hakuna mipango ya muungano huo wa kuunda silaha zake za kinyuklia Ulaya.
Alizungumza na BBC mwezi uliopita kuwa makombora Urusi yana uwezo wa kubeba kichwa cha kinyuklia hata hivo yanakasi na nivigumu kuyabaini na yanaweza kufika katika Miji ya Ulaya kwa dakika chache.

No comments
Post a Comment