Baada ya kuachiliwa huru Ndege ya Air Tanzania Ndege hiyo ipo njiani kuelekea Tanzania
Baada ya Mahakama ya Afrika kusini kuamuru ndege ya Tanzania kuachiliwa huru ndege hiyo ipo njiani kuelekea nchini Tanzania
Dkt Damas Ndumbaro ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Tanzania akiwa katikati pamoja na maafisa wengine kabla ya ndege hiyo kuanza kuondoka kuelekea Tanzania
Katika ukurasa wa Twitter wa shirika la ndege iyo imeandika kuwa siku ya ijumaa safari ya ndege hiyo kuelekea Afrika Kusini itarejea rasmi.
Ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa Nchini Afrika Kusini imeamuliwa kuachiwa huru leo na Mahakama kuu ya jimbo la Gauteng nchini Afrika kusini.
Nomsa Maseko ambaye ni mwandishi wa habari Afrika Kusini ameeleza kuwa mchakato wa kuachia Ndege hiyo kuwasili Dar es salaam kutoka uwanja wa Ndege wa OR Jijini Johannesburg unafanyika.
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje aliyekuwepo mahakamani Dkt.Damas Ndumbaro ameieleza BBC kuwa Tanzania imeridhika na uamuzi wa mahakama ya
Hermanus Steyn,ambaye ni mkulima aliyepeleka shauri hilo mahakamani na kupewa kibali cha kushikiliwa ndege hiyo,hukumu ya awali haikumridhisha hivyo basi na kukata rufaa.
Lakini pia,kwa mujimu wa Mwandishi wa habari wa BBC anaripoti kuwa Bw Steyn ameondoshwa pia kwenye rufaa yake na kutupiliwa mbali na mahakama.

No comments
Post a Comment